لَا جَرَمَ أَنَّهُمْ فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ هُمُ ٱلْأَخْسَرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakuna shaka kwamba wao katika Akhera ndio waliohasiri zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka hakika wao ndio wenye kukhasiri huko Akhera.