caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 21

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:21

أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ خَسِرُوٓا۟ أَنفُسَهُمْ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُوا۟ يَفْتَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio waliozihasiri nafsi zao, na yakawapotea yale waliyokuwa wakiyazua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio walio zikhasiri nafsi zao, na yakawapotea waliyo kuwa wakiyazua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70