وَقُل لِّلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ ٱعْمَلُوا۟ عَلَىٰ مَكَانَتِكُمْ إِنَّا عَٰمِلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa waambie wale wasioamini, "Fanyieni mahali penu, nasi hakika pia tunafanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa waambie wale wasio amini: Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya.