وَكُلًّا نَّقُصُّ عَلَيْكَ مِنْ أَنۢبَآءِ ٱلرُّسُلِ مَا نُثَبِّتُ بِهِۦ فُؤَادَكَ وَجَآءَكَ فِى هَٰذِهِ ٱلْحَقُّ وَمَوْعِظَةٌ وَذِكْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa yote tunayokusimulia katika habari za Mitume yale tunayoimarisha kwayo (ufahamu wa) moyo wako. Na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa Waumini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa yote tunayo kusimulia katika khabari za Mitume ni ya kukupa nguvu moyo wako. Na katika haya imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa Waumini.