caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 115

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:115

وَٱصْبِرْ فَإِنَّ ٱللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ ٱلْمُحْسِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa subiri, kwani hakika Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa wafanyao mazuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa subiri, kwani Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa wanao fanya wema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70