caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 100

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:100

ذَٰلِكَ مِنْ أَنۢبَآءِ ٱلْقُرَىٰ نَقُصُّهُۥ عَلَيْكَ مِنْهَا قَآئِمٌ وَحَصِيدٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHizi ni katika habari za miji, tunakusimulia. Mingine ipo bado na mingine ilifyekwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHizi ni katika khabari za miji, tunakusimulia. Mingine ipo bado na mingine imefyekwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70