caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maa'un, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 17 · 107:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ أَرَءَيْتَ ٱلَّذِى يُكَذِّبُ بِٱلدِّينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, umemwona anayekadhibisha Malipo?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70