caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:82

وَيُحِقُّ ٱللَّهُ ٱلْحَقَّ بِكَلِمَٰتِهِۦ وَلَوْ كَرِهَ ٱلْمُجْرِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mwenyezi Mungu huihakikisha haki kwa maneno yake, hata wakichukia wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mwenyezi Mungu huhakikisha Haki kwa maneno yake, hata wanga chukia wakosefu
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70