caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 80

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:80

فَلَمَّا جَآءَ ٱلسَّحَرَةُ قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلْقُوا۟ مَآ أَنتُم مُّلْقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi walipokuja wachawi hao, Musa akawaambia: Vitupeni mnavyovitupa!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70