caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:48

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanasema, “Ni lini ahadi hii, ikiwa nyinyi ni wakweli?"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70