caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Balad, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 35 · 90:19

وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا هُمْ أَصْحَٰبُ ٱلْمَشْـَٔمَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini waliozikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70