caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaashiya, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 68 · 88:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ هَلْ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلْغَٰشِيَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, imekufikia habari ya Msiba wa kufudikiza?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70