إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍۭ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa wale walioamini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usiomalizika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usio malizika.