caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Inshiqaaq, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 83 · 84:10

وَأَمَّا مَنْ أُوتِىَ كِتَٰبَهُۥ وَرَآءَ ظَهْرِهِۦ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ama atakayepewa daftari lake kwa nyuma ya mgongo wake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ama atakaye pewa daftari lake kwa nyuma ya mgongo wake,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70