كَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلْأَبْرَارِ لَفِى عِلِّيِّينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika Illiyyin.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin.