caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anfaal, Aya 15

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 88 · 8:15

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓا۟ إِذَا لَقِيتُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ زَحْفًا فَلَا تُوَلُّوهُمُ ٱلْأَدْبَارَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi Mlioamini! Mnapokutana na wale waliokufuru vitani, msiwageuzie migongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi Mlio amini! Mkikutana na walio kufuru vitani msiwageuzie mgongo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70