caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naazi'aat, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 81 · 79:40

وَأَمَّا مَنْ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِۦ وَنَهَى ٱلنَّفْسَ عَنِ ٱلْهَوَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ama yule anayeogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70