إِذْ نَادَىٰهُ رَبُّهُۥ بِٱلْوَادِ ٱلْمُقَدَّسِ طُوًى
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wake Mlezi alipomwita katika bonde takatifu la Tuwaa, akamwambia:
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia: