caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mursalaat, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 33 · 77:27

وَجَعَلْنَا فِيهَا رَوَٰسِىَ شَٰمِخَٰتٍ وَأَسْقَيْنَٰكُم مَّآءً فُرَاتًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ndani yake tukaweka milima mirefu yenye kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ndani yake tukaweka milima mirefu yenye kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70