caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:44

خَٰشِعَةً أَبْصَٰرُهُمْ تَرْهَقُهُمْ ذِلَّةٌ ذَٰلِكَ ٱلْيَوْمُ ٱلَّذِى كَانُوا۟ يُوعَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMacho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyo ndiyo Siku waliyokuwa wakiahidiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMacho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyo ndiyo Siku waliyo kuwa wakiahidiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70