caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 42

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:42

فَذَرْهُمْ يَخُوضُوا۟ وَيَلْعَبُوا۟ حَتَّىٰ يُلَٰقُوا۟ يَوْمَهُمُ ٱلَّذِى يُوعَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi waache wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayoahidiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi waache wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayo ahidiwa,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70