caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 124

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:124

لَأُقَطِّعَنَّ أَيْدِيَكُمْ وَأَرْجُلَكُم مِّنْ خِلَٰفٍ ثُمَّ لَأُصَلِّبَنَّكُمْ أَجْمَعِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLazima nitaikata mikono yenu na miguu yenu kwa kutofautisha. Kisha lazima nitawasulubisha nyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLazima nitaikata mikono yenu na miguu yenu mbali mbali. Kisha nitakutundikeni misalabani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70