caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 115

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:115

قَالُوا۟ يَٰمُوسَىٰٓ إِمَّآ أَن تُلْقِىَ وَإِمَّآ أَن نَّكُونَ نَحْنُ ٱلْمُلْقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Ewe Musa! Ima utupe wewe, au tuwe sisi ndio watupao?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Ewe Musa! Je, utatupa wewe, au tutakuwa sisi tutao tupa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70