caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:41

وَمَا هُوَ بِقَوْلِ شَاعِرٍ قَلِيلًا مَّا تُؤْمِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayoyaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayo yaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70