caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:25

وَأَمَّا مَنْ أُوتِىَ كِتَٰبَهُۥ بِشِمَالِهِۦ فَيَقُولُ يَٰلَيْتَنِى لَمْ أُوتَ كِتَٰبِيَهْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ama atakayepewa kitabu chake katika mkono wake wa kushoto, basi yeye atasema: "Laiti nisingelipewa kitabu changu!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ama atakaye pewa kitabu chake katika mkono wake wa kushoto, basi yeye atasema: Laiti nisingeli pewa kitabu changu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70