caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:14

وَحُمِلَتِ ٱلْأَرْضُ وَٱلْجِبَالُ فَدُكَّتَا دَكَّةً وَٰحِدَةً

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70