قُلْ سِيرُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ ثُمَّ ٱنظُرُوا۟ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Tembeeni katika ardhi, kisha mtazame vipi ulikuwa mwisho wa wanaokadhibisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Tembeeni ulimwenguni, kisha mtazame ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha.