caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 88

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:88

فَأَمَّآ إِن كَانَ مِنَ ٱلْمُقَرَّبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, akiwa miongoni mwa wale walio karibu na Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi akiwa miongoni mwa walio karibishwa,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70