وَتَجْعَلُونَ رِزْقَكُمْ أَنَّكُمْ تُكَذِّبُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha?