caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:26

إِلَّا قِيلًا سَلَٰمًا سَلَٰمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa maneno ya Salama, Salama.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa maneno ya Salama, Salama.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70