caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 59

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:59

فَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا۟ ذَنُوبًا مِّثْلَ ذَنُوبِ أَصْحَٰبِهِمْ فَلَا يَسْتَعْجِلُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale waliodhulumu wana fungu lao la adhabu kama fungu la wenzao. Basi wasiniharakishe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika walio dhulumu wana fungu lao la adhabu kama fungu la wenzao. Basi wasinihimize.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70