إِنَّمَا يُرِيدُ ٱلشَّيْطَٰنُ أَن يُوقِعَ بَيْنَكُمُ ٱلْعَدَٰوَةَ وَٱلْبَغْضَآءَ فِى ٱلْخَمْرِ وَٱلْمَيْسِرِ وَيَصُدَّكُمْ عَن ذِكْرِ ٱللَّهِ وَعَنِ ٱلصَّلَوٰةِ فَهَلْ أَنتُم مُّنتَهُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Shetani anataka kutia kati yenu uadui na chuki katika mvinyo na kamari, na awazuie kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kuswali. Basi je, mmeacha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha?