caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Maaida, Aya 10

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 112 · 5:10

وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَكَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَآ أُو۟لَٰٓئِكَ أَصْحَٰبُ ٱلْجَحِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale waliokufuru na wakazikadhibisha Ishara zetu, hao ndio watu wa Jahiim.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale walio kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70