إِن يَسْـَٔلْكُمُوهَا فَيُحْفِكُمْ تَبْخَلُوا۟ وَيُخْرِجْ أَضْغَٰنَكُمْ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akikutakeni hizo na kukushikilieni, mtafanya ubahili, na atatoa undani wa chuki zenu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa akikutakeni hayo na kukushikilieni mtafanya ubakhili, na atatoa undani wa chuki zenu.