وَٱلَّذِينَ ٱهْتَدَوْا۟ زَادَهُمْ هُدًى وَءَاتَىٰهُمْ تَقْوَىٰهُمْ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale walioongoka anawazidishia uongofu na anawapa ucha Mungu wao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao.