caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahqaf, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 66 · 46:2

تَنزِيلُ ٱلْكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلْعَزِيزِ ٱلْحَكِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterUteremsho wa Kitabu uliotoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniUteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70