caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jaathiya, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 65 · 45:26

قُلِ ٱللَّهُ يُحْيِيكُمْ ثُمَّ يُمِيتُكُمْ ثُمَّ يَجْمَعُكُمْ إِلَىٰ يَوْمِ ٱلْقِيَٰمَةِ لَا رَيْبَ فِيهِ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَ ٱلنَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: 'Mwenyezi Mungu anawahuisha, kisha anawafisha, kisha atawakusanya Siku ya Kiyama isiyo na shaka. Lakini watu wengi hawajui.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Mwenyezi Mungu anakuhuisheni, kisha anakufisheni, kisha anakukusanyeni Siku ya Kiyama isiyo na shaka. Lakini watu wengi hawajui.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70