caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:41

يَوْمَ لَا يُغْنِى مَوْلًى عَن مَّوْلًى شَيْـًٔا وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwa chochote, wala hawatanusuriwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwa chochote, wala hawatanusuriwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70