caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:18

أَوَمَن يُنَشَّؤُا۟ فِى ٱلْحِلْيَةِ وَهُوَ فِى ٱلْخِصَامِ غَيْرُ مُبِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti aliyelelewa katika mapambo na katika mabishano hawezi kusema kwa bayana?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti aliye lelewa katika mapambo, na katika mabishano hawezi kusema kwa bayana?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70