وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنْ عَزْمِ ٱلْأُمُورِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anayekuwa na subira, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.