caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:4

لَهُۥ مَا فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِى ٱلْأَرْضِ وَهُوَ ٱلْعَلِىُّ ٱلْعَظِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi vyake vilivyomo mbinguni na vilivyo katika ardhi. Na Yeye ndiye aliye juu zaidi, Mkuu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi vyake viliomo mbinguni, na viliomo katika ardhi. Na Yeye ndiye Mtukufu, Mkuu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70