caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 37

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:37

وَٱلَّذِينَ يَجْتَنِبُونَ كَبَٰٓئِرَ ٱلْإِثْمِ وَٱلْفَوَٰحِشَ وَإِذَا مَا غَضِبُوا۟ هُمْ يَغْفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanaoyaepuka madhambi makubwa na mambo machafu, na wanapokasirika wao husamehe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanayo yaepuka madhambi makubwa na mambo machafu, na wanapo kasirika wao husamehe,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70