caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:30

وَمَآ أَصَٰبَكُم مِّن مُّصِيبَةٍ فَبِمَا كَسَبَتْ أَيْدِيكُمْ وَيَعْفُوا۟ عَن كَثِيرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa misiba inayowasibu ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. Naye anasamehe mengi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. Naye anasamehe mengi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70