وَهُوَ ٱلَّذِى يَقْبَلُ ٱلتَّوْبَةَ عَنْ عِبَادِهِۦ وَيَعْفُوا۟ عَنِ ٱلسَّيِّـَٔاتِ وَيَعْلَمُ مَا تَفْعَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye ndiye anayepokea toba kwa waja wake, na anasamehe mabaya, na anayajua mnayoyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na anayajua mnayo yatenda.