caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Fussilat, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 61 · 41:24

فَإِن يَصْبِرُوا۟ فَٱلنَّارُ مَثْوًى لَّهُمْ وَإِن يَسْتَعْتِبُوا۟ فَمَا هُم مِّنَ ٱلْمُعْتَبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakisubiri, Moto ndio maskani yao. Na wakiomba radhi, hawakubaliwi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakisubiri Moto ndio maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70