caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 81

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:81

وَيُرِيكُمْ ءَايَٰتِهِۦ فَأَىَّ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ تُنكِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye anawaonyesha Ishara zake. Basi Ishara gani za Mwenyezi Mungu mnazozikataa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye anakuonyesheni Ishara zake. Basi Ishara gani za Mwenyezi Mungu mnazo zikataa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70