إِنَّ ٱلسَّاعَةَ لَـَٔاتِيَةٌ لَّا رَيْبَ فِيهَا وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَ ٱلنَّاسِ لَا يُؤْمِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Saa (ya Kiyama) itafika, nayo haina shaka. Lakini watu wengi hawaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Saa (ya Kiyama) itafika, nayo haina shaka. Lakini watu wengi hawaamini.