caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:41

وَيَٰقَوْمِ مَا لِىٓ أَدْعُوكُمْ إِلَى ٱلنَّجَوٰةِ وَتَدْعُونَنِىٓ إِلَى ٱلنَّارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa enyi watu wangu! Kwa nini mimi nakuiteni kwenye wokovu, nanyi mnaniita kwenye Moto?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa enyi watu wangu! Kwa nini mimi nakuiteni kwenye uwokofu, nanyi mnaniita kwenye Moto?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70