caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:14

فَٱدْعُوا۟ ٱللَّهَ مُخْلِصِينَ لَهُ ٱلدِّينَ وَلَوْ كَرِهَ ٱلْكَٰفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi mwombeni Mwenyezi Mungu mkimsafia Dini Yeye tu, na wangalichukia makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi mwombeni Mwenyezi Mungu mkimsafia Dini Yeye tu, na wangachukia makafiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70