caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 61

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:61

وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ تَعَالَوْا۟ إِلَىٰ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ وَإِلَى ٱلرَّسُولِ رَأَيْتَ ٱلْمُنَٰفِقِينَ يَصُدُّونَ عَنكَ صُدُودًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanapoambiwa: 'Njooni kwa yale aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu na kwa Mtume', utawaona wanafiki wanaepukana na wewe kuepuka kukubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanapo ambiwa: Njooni kwenye yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, na njooni kwa Mtume; utawaona wanaafiki wanakukwepa kwa upinzani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70